For faster navigation, this Iframe is preloading the Wikiwand page for Mkoa wa Kaskazini-Mashariki (Kenya).

Mkoa wa Kaskazini-Mashariki (Kenya)

Mikoa ya Kenya
Mkoa wa Kaskazini-Mashariki
North Eastern Province
Mahali pa Mkoa wa Kati
Makao Makuu Garissa
’‘‘Mji Mkubwa’’’ Garissa
Eneo

- Jumla
Nafasi ya 3 kati ya mikoa ya Kenya
126,186 km²
Wakazi
(kadirio)

 - Jumla (2007)  - Msongamano wa watu / km²
Nafasi ya 8 kati ya mikoa ya Kenya
459,000
4 /km²
Lugha mkoani Kisomali
Kioromo

Kaskazini-Mashariki ulikuwa mmoja kati ya mikoa 9 ya Kenya. Eneo lake lilikuwa km² 127 000 [1] Archived 29 Novemba 2006 at the Wayback Machine. na wakazi 962,143 (sensa ya 1999).

Wakati wa ukoloni eneo hilo liliitwa "Northern Frontier District" (Eneo la mpakani wa kaskazini) likitawaliwa pekee na sehemu kubwa ya Kenya.

Wakazi walio wengi ni Wasomalia kwa lugha na utamaduni; kuwepo kwao ndani ya Kenya badala ya Somalia ni urithi wa mipaka ya kikoloni. Wengine ni Waborana, Warendille na Waturkana.

Kuna pia makambi makubwa ya wakimbizi Wasomalia, hasa karibu na Daadab.

Hali ya hewa

[hariri | hariri chanzo]

Eneo hili ni kavu sana. Mbali na bonde la mto Tana na maeneo mengine madogo, mkoa haufai kwa kilimo. Wakazi walio wengi hujipatia riziki kutokana na ufugaji.

Mkoa wa Kaskazini-Mashariki ulikuwa na wilaya nne:

{{bottomLinkPreText}} {{bottomLinkText}}
Mkoa wa Kaskazini-Mashariki (Kenya)
Listen to this article

This browser is not supported by Wikiwand :(
Wikiwand requires a browser with modern capabilities in order to provide you with the best reading experience.
Please download and use one of the following browsers:

This article was just edited, click to reload
This article has been deleted on Wikipedia (Why?)

Back to homepage

Please click Add in the dialog above
Please click Allow in the top-left corner,
then click Install Now in the dialog
Please click Open in the download dialog,
then click Install
Please click the "Downloads" icon in the Safari toolbar, open the first download in the list,
then click Install
{{::$root.activation.text}}

Install Wikiwand

Install on Chrome Install on Firefox
Don't forget to rate us

Tell your friends about Wikiwand!

Gmail Facebook Twitter Link

Enjoying Wikiwand?

Tell your friends and spread the love:
Share on Gmail Share on Facebook Share on Twitter Share on Buffer

Our magic isn't perfect

You can help our automatic cover photo selection by reporting an unsuitable photo.

This photo is visually disturbing This photo is not a good choice

Thank you for helping!


Your input will affect cover photo selection, along with input from other users.

X

Get ready for Wikiwand 2.0 🎉! the new version arrives on September 1st! Don't want to wait?