Upinzani
Upinzani katika siasa unatokana na vyama vya kisiasa au makundi mengine ambayo hayakubali itikadi au maamuzi ya serikali na chama tawala.
Upinzani unakuwa na kiwango tofauti kadiri ya tofauti zilizojitokeza na hali ya nchi kuwa ya kidemokrasia au ya kiimla[1].
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Blondel, J (1997). "Political opposition in the contemporary world". Government and Opposition. 32 (4): 462–486. doi:10.1111/j.1477-7053.1997.tb00441.x. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2013-01-05.
Text is available under the CC BY-SA 4.0 license; additional terms may apply.
Images, videos and audio are available under their respective licenses.