For faster navigation, this Iframe is preloading the Wikiwand page for Uchaguzi.

Uchaguzi

Sarafu ya Kiroma ikionyesha upigaji kura

Uchaguzi ni mchakato wa kumteua mtu kwa nafasi maalumu katika jamii, hasa cheo na majukumu yanayotokana nacho.

Uchaguzi hufanyika kwa nafasi za uongozi au nafasi za mamlaka fulani. Uchaguzi hutokea mara nyingi kwa njia ya kupiga kura kwa wenye haki ya kura.

Katika chama, jumuiya binafsi au klabu ni wanachama wanaopigia kura kamati ya uongozi, mwenyekiti na maafisa wengine.

Katika shirika za hisa ni wenye hisa wanaopigia kura uongozi.

Katika dola ni raia au wawakilishi wao wanaochagua. Hapa kuna mbinu tofauti kufuatana na katiba ya nchi.

  • uchaguzi wa viongozi wakuu na raia, pamoja na kiongozi wa taifa (rais), wa serikali (waziri mkuu), wa manisipaa au mkoa, jaji, wabunge
  • uchaguzi wa wawakilishi (kwa mfano wabunge) watakaochagua wenye vyeo wengine
  • mchanganyiko kati ya mbinu mbili za kwanza
{{bottomLinkPreText}} {{bottomLinkText}}
Uchaguzi
Listen to this article

This browser is not supported by Wikiwand :(
Wikiwand requires a browser with modern capabilities in order to provide you with the best reading experience.
Please download and use one of the following browsers:

This article was just edited, click to reload
This article has been deleted on Wikipedia (Why?)

Back to homepage

Please click Add in the dialog above
Please click Allow in the top-left corner,
then click Install Now in the dialog
Please click Open in the download dialog,
then click Install
Please click the "Downloads" icon in the Safari toolbar, open the first download in the list,
then click Install
{{::$root.activation.text}}

Install Wikiwand

Install on Chrome Install on Firefox
Don't forget to rate us

Tell your friends about Wikiwand!

Gmail Facebook Twitter Link

Enjoying Wikiwand?

Tell your friends and spread the love:
Share on Gmail Share on Facebook Share on Twitter Share on Buffer

Our magic isn't perfect

You can help our automatic cover photo selection by reporting an unsuitable photo.

This photo is visually disturbing This photo is not a good choice

Thank you for helping!


Your input will affect cover photo selection, along with input from other users.

X

Get ready for Wikiwand 2.0 🎉! the new version arrives on September 1st! Don't want to wait?