For faster navigation, this Iframe is preloading the Wikiwand page for Stefano wa Cuneo.

Stefano wa Cuneo

Stefano wa Cuneo (Cuneo, Italia - Yerusalemu, leo kati ya Israeli na Palestina, 14 Novemba 1391) alikuwa mtawa wa shirika la Ndugu Wadogo, padri na mmisionari katika Nchi takatifu ya Yesu.

Kabla ya kwenda huko aliishi kitawa katika kisiwa cha Corsica, leo sehemu ya Ufaransa.

Alitangazwa na Papa Leo XIII kuwa mwenye heri mwaka 1889, halafu na Papa Paulo VI kuwa mtakatifu tarehe 21 Juni 1970.

Anaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama mfiadini pamoja na Nikola Tavelic, Deodato wa Ruticinium na Petro wa Narbone.

Sikukuu yao ni tarehe waliyouawa na Waislamu waliowahubiria Injili[1].

Ua wa monasteri ya zamani ya Mlima Sayuni huko Jerusalem, alipoishi.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  • D. Mandić: Documenta martyrii beati Tavelic, Dissertation Gregorianae, Roma 1958.
  • A. Crnica, Historico-iuridica dilucidatio vitae, martyrii et gloriae beati N. Tavelic, Dissertation Gregorianae, Roma 1958,
  • Odilo Lechner, Ulrich Schütz: Mit den Heiligen durch das Jahr. Herder, Freiburg/B. 1988, ISBN 3-451-20485-1, S. 228.
  • Vera Schauber, Hanns Michael Schindler: Heilige und Namenspatrone im Jahreslauf. Pattloch, Augsburg 2001, ISBN 3-629-01642-1, S. 587.
  • Josef Gelmi u.a.: Lexikon der Namen und Heiligen. Edition Nikol, Hamburg 2002, ISBN 3-933203-63-5, S. 609.
  • Ordo Fratrum Minorum: Franziskanisches Proprium. Die Feier des Stundengebetes. Herder, Freiburg/B. 1987, S. 372–375.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.
  1. Martyrologium Romanum
{{bottomLinkPreText}} {{bottomLinkText}}
Stefano wa Cuneo
Listen to this article

This browser is not supported by Wikiwand :(
Wikiwand requires a browser with modern capabilities in order to provide you with the best reading experience.
Please download and use one of the following browsers:

This article was just edited, click to reload
This article has been deleted on Wikipedia (Why?)

Back to homepage

Please click Add in the dialog above
Please click Allow in the top-left corner,
then click Install Now in the dialog
Please click Open in the download dialog,
then click Install
Please click the "Downloads" icon in the Safari toolbar, open the first download in the list,
then click Install
{{::$root.activation.text}}

Install Wikiwand

Install on Chrome Install on Firefox
Don't forget to rate us

Tell your friends about Wikiwand!

Gmail Facebook Twitter Link

Enjoying Wikiwand?

Tell your friends and spread the love:
Share on Gmail Share on Facebook Share on Twitter Share on Buffer

Our magic isn't perfect

You can help our automatic cover photo selection by reporting an unsuitable photo.

This photo is visually disturbing This photo is not a good choice

Thank you for helping!


Your input will affect cover photo selection, along with input from other users.

X

Get ready for Wikiwand 2.0 ๐ŸŽ‰! the new version arrives on September 1st! Don't want to wait?