For faster navigation, this Iframe is preloading the Wikiwand page for Sifuri halisi.

Sifuri halisi

Mfano wa mwendo wa atomi ndani ya molekuli ya proteini yaani ndani ya mango. Wakati nishati mwendo inaongezeka kila atomi inachezacheza zaidi. Inaonekana jinsi gani molekuli kwa jumla inahitaji nafasi kubwa zaidi kadiri mwendo unavyoongezeka. Hapa ni sababu ya kwamba magimba yanapanuka kiasi yakipashwa moto na kujikaza wakati wa kupoa.
Mfano wa mwendo wa atomi ndani ya gesi (kama hewani). Mkasi wa mwendo unategemea nishati mwendo wa atomi hizi; katika hewa joto zina mbio mkubwa na katika hewa baridi zina mwendo wa polepole zaidi hadi kufikia kiwango cha sifuri halisi ambako zinakaa kimya bila mwendo.

Sifuri halisi katika fizikia ni kiwango cha halijoto ya duni kabisa inayowezekana.

Ni sawa na vizio −273.15° kwenye skeli ya selsiasi au vizio 0° kwenye skeli ya kelvini.

Kwenye kiwango cha sifuri halisi hakuna mwendo wa maada au molekuli tena. Sababu yake ni ya kwamba halijoto yenyewe kifizikia ni uso mwingine wa mwendo wa mada yaani mwendo wa molekuli na atomi.

Katika hali ya kawaida molekuli za hewa au za kiowevu huwa na mwendo; pia molekuli za gimba mango huwa na mwendo fulani kama kitikisiko. Kama mwendo = halijoto inaongezeka tunaona badiliko la gimba mango kuwa kiowevu au gesi. Kinyume chake tunaona jinsi gani maji "baridi" huwa barafu imara maana yake mwendo wa molekuli za H20 imepungua. Pasipo mwendo tena hakuna joto wala halijoto na hali hii huitwa "sifuri halisi".

Hali hii inasababisha kutokea kwa mambo yasiyo kawaida. Kwa mfano uwezo wa metali wa kupitisha umeme unaongezeka sana kadiri metali inavyokaribia sifuri halisi.

Hali halisi haiwezekani kukuta mada kwenye hali ya sifuri halisi kabisa lakini katika maabara imewezekana kuikaribia sana.

Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sifuri halisi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
{{bottomLinkPreText}} {{bottomLinkText}}
Sifuri halisi
Listen to this article

This browser is not supported by Wikiwand :(
Wikiwand requires a browser with modern capabilities in order to provide you with the best reading experience.
Please download and use one of the following browsers:

This article was just edited, click to reload
This article has been deleted on Wikipedia (Why?)

Back to homepage

Please click Add in the dialog above
Please click Allow in the top-left corner,
then click Install Now in the dialog
Please click Open in the download dialog,
then click Install
Please click the "Downloads" icon in the Safari toolbar, open the first download in the list,
then click Install
{{::$root.activation.text}}

Install Wikiwand

Install on Chrome Install on Firefox
Don't forget to rate us

Tell your friends about Wikiwand!

Gmail Facebook Twitter Link

Enjoying Wikiwand?

Tell your friends and spread the love:
Share on Gmail Share on Facebook Share on Twitter Share on Buffer

Our magic isn't perfect

You can help our automatic cover photo selection by reporting an unsuitable photo.

This photo is visually disturbing This photo is not a good choice

Thank you for helping!


Your input will affect cover photo selection, along with input from other users.

X

Get ready for Wikiwand 2.0 🎉! the new version arrives on September 1st! Don't want to wait?