Papa Yohane X
Papa Yohane X alikuwa Papa kuanzia Machi/Aprili 914 hadi Mei/Juni 928 alipofungwa na watawala wa mji wa Roma. Alifariki kifungoni mwaka uleule au 929[1]. Alitokea Tossignano, Imola, Italia[2].
Jina lake la kuzaliwa pia lilikuwa Yohane.
Alimfuata Papa Lando akafuatwa na Papa Leo VI.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Maandishi yake
[hariri | hariri chanzo]- Opera Omnia kadiri ya Migne katika Patrologia Latina pamoja na faharasa
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Yohane X kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |
Text is available under the CC BY-SA 4.0 license; additional terms may apply.
Images, videos and audio are available under their respective licenses.