For faster navigation, this Iframe is preloading the Wikiwand page for Mto Marico.

Mto Marico

Ramani ya Mto Limpopo.

Mto Marico au Madikwe ni mto wa Afrika Kusini. Kuna mabwawa mengi ndani ya bonde la mto huo. [1] Groot Marico limeitwa kutokana na jina la mto Marico. [2] Mto unaungana kulia mwa kando zake na Crocodile River ambao hujulikana kama mto Limpopo.

Eye of Marico, chanzo cha mto Marico.

Mto unaanza mwanzoni kabisa katika Eye of Marico, karibu na Rustenburg na Swartruggens katika jimbo la Kaskazini-Magharibi ya Afrika Kusini. Chanzo cha mto ni dolomitic shimo lillopo chini ya ardhi lenye maji masafi ambayo pia ni mazuri kwa michezo ya scuba diving .[3] Hutiririka kaskazini kama Marico mkuu na mbali kwa chini hujulikana kama Klein Marico River .[4] Kwa urefu wake hujulikana pia kama mto Madikwene , ila baada ya Sehubyane River (Sandsloot) huungana kushoto kwake na jina lake hubadilika kuwa mto Marico.[5]

Mto huendelea kutiririka kuelekea kaskazini halafu hupinda kuelekea kaskazini mashariki na kuung mpaka kati ya  South Africa na Botswana. Kwa chini maji yanapotiririka,mto Crocodile huungana na mto Marico kwa upande wake wa kulia na jina la mkondo huo hubadilika na kuwa Limpopo River. About 5 km short of the confluence the Notwane River huungana na mto Limpopo kwa upande wake wa kusini magharibi.[6]

Mabwawa katika bonde la mto Marico

[hariri | hariri chanzo]

Mto Marico ni sehemu ya Crocodile (West) and Marico Water Management Area. Mabwawa katika bonde la mto ni:

  • Lambo la Molatedi
  • Lambo la Kromellenboog
  • Lambo la Marico-Bosveld
  • Lambo la Uitkyk
  • Lambo la Klein-Maricopoort
  • Lambo la Sehujwane
  • Lambo la Madikwe

Angalia pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. "Major dams in the Marico River". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-04-17. Iliwekwa mnamo 2012-03-16. ((cite web)): More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help)
  2. Marico - Africa at its best
  3. "South Africa Information: Groot Marico". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2017-02-16. Iliwekwa mnamo 2019-10-10.
  4. Klein-Maricorivier, North-West, South Africa
  5. Crocodile (West) & Marico WMA 3
  6. "Limpopo Drainage Network". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2014-09-03. Iliwekwa mnamo 2012-03-16. ((cite web)): More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help)

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika Kusini bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mto Marico kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
{{bottomLinkPreText}} {{bottomLinkText}}
Mto Marico
Listen to this article

This browser is not supported by Wikiwand :(
Wikiwand requires a browser with modern capabilities in order to provide you with the best reading experience.
Please download and use one of the following browsers:

This article was just edited, click to reload
This article has been deleted on Wikipedia (Why?)

Back to homepage

Please click Add in the dialog above
Please click Allow in the top-left corner,
then click Install Now in the dialog
Please click Open in the download dialog,
then click Install
Please click the "Downloads" icon in the Safari toolbar, open the first download in the list,
then click Install
{{::$root.activation.text}}

Install Wikiwand

Install on Chrome Install on Firefox
Don't forget to rate us

Tell your friends about Wikiwand!

Gmail Facebook Twitter Link

Enjoying Wikiwand?

Tell your friends and spread the love:
Share on Gmail Share on Facebook Share on Twitter Share on Buffer

Our magic isn't perfect

You can help our automatic cover photo selection by reporting an unsuitable photo.

This photo is visually disturbing This photo is not a good choice

Thank you for helping!


Your input will affect cover photo selection, along with input from other users.

X

Get ready for Wikiwand 2.0 🎉! the new version arrives on September 1st! Don't want to wait?