For faster navigation, this Iframe is preloading the Wikiwand page for Metorolojia.

Metorolojia

Ramani inayoonyesha halijoto wastani ya uso wa bahari. Ramani za aina hii ni tokeo ya miaka mingi ya vipimo na pia msaada muhimu kwa kuelewa utaratibu wa mabadiliko ya halihewa kama kutokea kwa dhoruba au kunyesha au kutonyesha kwa mvua

Metorolojia (kutoka Kigiriki μετεωρολογία, meteorologia; kwa Kiingereza meteorology) ni sayansi inayoshughulikia habari za angahewa, tabianchi na halihewa na hasa fizikia pamoja na kemia husika.

Tabia za angahewa

[hariri | hariri chanzo]

Tabia za msingi za halihewa ni mwendo wa upepo, halijoto, umawingu, unyevu, kanieneo, kiwango cha mnururisho wa jua, uvukizaji na nyingine. Tangu karne nyingi wataalamu wamejitahidi kupima tabia mbalimbali za halihewa na angahewa kama msaada wa kuzielewa vizuri zaidi na kujenga msingi kwa utabiri wake.

Vifaa vya metorolojia

[hariri | hariri chanzo]

Metorolojia imeanza kutokea kadiri wataalamu walivyoanza kuchukua vipimo halisi vya tabia za angahewa na kuvilinganisha. Mwelekeo huo ulileta kubuniwa kwa vifaa vya upimaji maalumu vinavyounganishwa kwenye vituo vya metorolojia. Data kutoka vifaa hivyo zinatunzwa kwa muda mrefu, zinaruhusu kutabiri halihewa na kuangalia mabadiliko ya tabianchi.

  • vyombo vya kupimia kiasi cha usimbishaji, hasa mvua, vilivyosanifishwa na serikali vinajulikana kutoka Korea mnamo 1441; vilisambazwa kama msaada wa kukadiria kodi za wakulima. Hadi leo kiasi cha mvua kinachonyesha kwa mwezi au mwaka ni kipimo muhimu kwa kupanga shughuli za kilimo.
  • vyombo vya kupimia kasi na mwelekeo wa upepo mahali fulani vinajulikana tangu anemomita iliyobuniwa Italia mnamo 1450. Habari hizo ni za msingi kwa kuelewa uhusiano kati ya hali ya hewa katima maeneo jirani; ni pia muhimu kwa kupanga kilimo kwa sababu zinatawala sehemu ya uvukizaji na ni habari za lazima kwa mpangilio wa usafiri kwa eropleni na pia meli.
  • Higromita ni kifaa cha kupimia kiwango cha unyevu katika hewa; chombo hicho kilibuniwa mwaka 1783 na Mfaransa Horace-Bénédict de Saussure.
  • Mwaka 1960 satelaiti ya kwanza kwa upimaji wa angahewa TIROS-1 ilirushwa angani.
Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Metorolojia kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
{{bottomLinkPreText}} {{bottomLinkText}}
Metorolojia
Listen to this article

This browser is not supported by Wikiwand :(
Wikiwand requires a browser with modern capabilities in order to provide you with the best reading experience.
Please download and use one of the following browsers:

This article was just edited, click to reload
This article has been deleted on Wikipedia (Why?)

Back to homepage

Please click Add in the dialog above
Please click Allow in the top-left corner,
then click Install Now in the dialog
Please click Open in the download dialog,
then click Install
Please click the "Downloads" icon in the Safari toolbar, open the first download in the list,
then click Install
{{::$root.activation.text}}

Install Wikiwand

Install on Chrome Install on Firefox
Don't forget to rate us

Tell your friends about Wikiwand!

Gmail Facebook Twitter Link

Enjoying Wikiwand?

Tell your friends and spread the love:
Share on Gmail Share on Facebook Share on Twitter Share on Buffer

Our magic isn't perfect

You can help our automatic cover photo selection by reporting an unsuitable photo.

This photo is visually disturbing This photo is not a good choice

Thank you for helping!


Your input will affect cover photo selection, along with input from other users.

X

Get ready for Wikiwand 2.0 🎉! the new version arrives on September 1st! Don't want to wait?