For faster navigation, this Iframe is preloading the Wikiwand page for Methani.

Methani

Molekuli ya methani yenye atomi 4 za hidrojeni na atomi 1 ya kaboni

Methani ni kampaundi ya kikemia katika kundi la hidrokaboni yenye fomula CH4 maanake molekuli yake ina atomi 1 ya kaboni na atomi 4 za hidrojeni. Huhesabiwa kati ya alkani ikiwa ni sehemu kubwa ya mchanganyiko wa kawaida ya gesi asilia. Kwa halijoto ya kawaida duniani inatokea kwa umbo la gesi isiyo na herufi wala rangi. Ina nishati nyingi ndani yake inayotumiwa kwa njia ya mitambo. Asili yake iko katika mchakato wa kuoza kwa mimea na dutu ogania kwa hiyo ni fueli kisukuu.

Methani hutazamiwa kati ya gesi za kupandisha halijoto duniani kali zaidi kuliko dioksidi kabonia. Kiwango chake katika angahewa kimezidi upanda tangu upimaji ulianza.

Matumizi

[hariri | hariri chanzo]

Methani inawaka haraka kwa hiyo hutumiwa katika maabara kama chanzo cha joto. Katika viwanda vya kutengeneza umeme huchomwa kwa kusudi la kuendesha rafadha za umeme. Katika miji mikubwa hupelekwa kwa mabomba hadi nyumba za watu kwa upishi na kupasha moto nyumba.

Katika miaka ya nyuma kulikuwa pia na majaribio ya kuitumia kama fuele ya kuendesha magari.

Kwa kusudi la kuisafirisha na kuitunza mara nyingi inapashwa baridi na kutunzwa kama kiowevu katika vyupa imara vya feleji au tenki kubwa. Katika hali ya kiowevu inachukua nafasi ndogo tu kuliko gesi.

Uzalishaji

[hariri | hariri chanzo]

Methani hupatikana kwa mbinu mbalimbali za kikemia lakini wka kawaida inatokea wakati wa kuchemsha petroliamu katika kiwanda cha kusafisha mafuta.

{{bottomLinkPreText}} {{bottomLinkText}}
Methani
Listen to this article

This browser is not supported by Wikiwand :(
Wikiwand requires a browser with modern capabilities in order to provide you with the best reading experience.
Please download and use one of the following browsers:

This article was just edited, click to reload
This article has been deleted on Wikipedia (Why?)

Back to homepage

Please click Add in the dialog above
Please click Allow in the top-left corner,
then click Install Now in the dialog
Please click Open in the download dialog,
then click Install
Please click the "Downloads" icon in the Safari toolbar, open the first download in the list,
then click Install
{{::$root.activation.text}}

Install Wikiwand

Install on Chrome Install on Firefox
Don't forget to rate us

Tell your friends about Wikiwand!

Gmail Facebook Twitter Link

Enjoying Wikiwand?

Tell your friends and spread the love:
Share on Gmail Share on Facebook Share on Twitter Share on Buffer

Our magic isn't perfect

You can help our automatic cover photo selection by reporting an unsuitable photo.

This photo is visually disturbing This photo is not a good choice

Thank you for helping!


Your input will affect cover photo selection, along with input from other users.

X

Get ready for Wikiwand 2.0 🎉! the new version arrives on September 1st! Don't want to wait?