For faster navigation, this Iframe is preloading the Wikiwand page for Mchezo.

Mchezo

Kuvuta kamba ni mchezo rahisi usiohitaji maandalizi wala vifaa vingi.
Wachezakarata, mchoro wa mwaka 1895, kazi ya Paul Cézanne.

Mchezo ni shughuli iliyopangwa hasa kama burudani na inayotumika pengine kwa lengo la malezi na la afya.[1]

Mchezo ni tofauti na kazi, inayofanyika kwa kawaida ili kupata malipo, na vilevile na sanaa, ambayo inalenga zaidi kutokeza uzuri au ujumbe fulani. Hata hivyo tofauti hizo si wazi kila mara, maana mambo hayo yanaweza kuchanganyikana katika tukio moja, ambalo linapendeza kwa uzuri, linaburudisha, linalea na kuleta malipo papo hapo.

Ushahidi wa kwanza wa michezo ni wa mwaka 2600 hivi KK[2][3] na kwa sasa baadhi yake imeenea duniani kote[4]

  1. http://www.merriam-webster.com/dictionary/game
  2. Soubeyrand, Catherine (2000). "The Royal Game of Ur". The Game Cabinet. Iliwekwa mnamo 2008-10-05. ((cite web)): External link in |publisher= (help)
  3. Green, William. "Big Game Hunter", 2008 Summer Journey, Time, 2008-06-19. Retrieved on 2008-10-05. Archived from the original on 2013-08-22. 
  4. "History of Games". MacGregor Historic Games. 2006. Iliwekwa mnamo 2008-10-05. ((cite web)): External link in |publisher= (help)
  • Avedon, Elliot; Sutton-Smith, Brian, The Study of Games. (Philadelphia: Wiley, 1971), reprinted Krieger, 1979. ISBN 0-89874-045-2

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:


{{bottomLinkPreText}} {{bottomLinkText}}
Mchezo
Listen to this article

This browser is not supported by Wikiwand :(
Wikiwand requires a browser with modern capabilities in order to provide you with the best reading experience.
Please download and use one of the following browsers:

This article was just edited, click to reload
This article has been deleted on Wikipedia (Why?)

Back to homepage

Please click Add in the dialog above
Please click Allow in the top-left corner,
then click Install Now in the dialog
Please click Open in the download dialog,
then click Install
Please click the "Downloads" icon in the Safari toolbar, open the first download in the list,
then click Install
{{::$root.activation.text}}

Install Wikiwand

Install on Chrome Install on Firefox
Don't forget to rate us

Tell your friends about Wikiwand!

Gmail Facebook Twitter Link

Enjoying Wikiwand?

Tell your friends and spread the love:
Share on Gmail Share on Facebook Share on Twitter Share on Buffer

Our magic isn't perfect

You can help our automatic cover photo selection by reporting an unsuitable photo.

This photo is visually disturbing This photo is not a good choice

Thank you for helping!


Your input will affect cover photo selection, along with input from other users.

X

Get ready for Wikiwand 2.0 🎉! the new version arrives on September 1st! Don't want to wait?