For faster navigation, this Iframe is preloading the Wikiwand page for Mansa Musa.

Mansa Musa

Musa akishika sarafu ya dhahabu katika Catalan Atlas 1375

Mansa Musa (1280-1337) alikuwa mtawala tajiri wa Mali ya Magharibi.

Ufalme wa Mali ulikuwa na eneo la zamani la Ufalme wa Ghana kusini mwa Mauritania na Melle (Mali) na maeneo yaliyo karibu.

Jina lake pia linaonekana kama Kankou Musa, Kankan Musa, na Kanku Musa. "Kankou" ni jina maarufu la kike. Musa alikuwa na majina mengi, yakiwa ni pamoja na "Emir wa Melle", "Bwana wa Mines ya Wangara", "Mshindi wa Ghanata".

Mansa Musa aliishinda miji 24. Wakati wa utawala wake (13121337), Mali iliweza kuwa na uzalishaji mkubwa wa dhahabu duniani; ilikuwa wakati ule ambao kulikuwa na mahitaji makubwa ya bidhaa hiyo. Alikuwa mmoja wa watu tajiri zaidi katika historia; gazeti la Time liliripoti: Hakika hakuna njia ya kutathmini kwa usahihi utajiri wake.

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mansa Musa kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
{{bottomLinkPreText}} {{bottomLinkText}}
Mansa Musa
Listen to this article

This browser is not supported by Wikiwand :(
Wikiwand requires a browser with modern capabilities in order to provide you with the best reading experience.
Please download and use one of the following browsers:

This article was just edited, click to reload
This article has been deleted on Wikipedia (Why?)

Back to homepage

Please click Add in the dialog above
Please click Allow in the top-left corner,
then click Install Now in the dialog
Please click Open in the download dialog,
then click Install
Please click the "Downloads" icon in the Safari toolbar, open the first download in the list,
then click Install
{{::$root.activation.text}}

Install Wikiwand

Install on Chrome Install on Firefox
Don't forget to rate us

Tell your friends about Wikiwand!

Gmail Facebook Twitter Link

Enjoying Wikiwand?

Tell your friends and spread the love:
Share on Gmail Share on Facebook Share on Twitter Share on Buffer

Our magic isn't perfect

You can help our automatic cover photo selection by reporting an unsuitable photo.

This photo is visually disturbing This photo is not a good choice

Thank you for helping!


Your input will affect cover photo selection, along with input from other users.

X

Get ready for Wikiwand 2.0 🎉! the new version arrives on September 1st! Don't want to wait?