For faster navigation, this Iframe is preloading the Wikiwand page for Majadiliano:Wilaya, tarafa na kata za Kenya.

Majadiliano:Wilaya, tarafa na kata za Kenya


Maswali kuhusu namna ya kuendelea

[hariri chanzo]

a) tuache majina ya makala yatakayoandikwa kuwa "Tarafa ya XYZ" au tuzibadilishe kuwa "XYZ (tarafa)"? Baada ya kubadilisha yote sipendezwi na orodha ya "tarafa ya..." mara nyingi mfululizo. Kwangu mimi ingetosha kwa wilaya.

b) Kwa umla nashangaa kidogo juu ya muundo wa utaratibu huu. Najiuliza kama takwimu niliyotumia inaonyesha kweli tarafa na kata zote? Maana ni wilaya 72 na tarafa kama 220 pekee. Ni kweli wastani ya tarafa 3 kwa wilaya tu? na zaidi kuna wilaya zisizo chache zenye tarafa moja au mbili tu? Pia tarafa nyingi zenye kata 1 pekee?

(Ninashangaa kwa sababu hadi maana sasa nilifikiri (samahani!) ya kwamba Kenya wana uzoefu wa kupanga na kuratibu kushinda Tanzania lakini naona si hivyo; muundo wa utawala huko Tanzania inaeleweka kwangu kabisa - Kenya nashangaa kwa sababu bado sijaelewa jinsi walivyopanga ngazi za utawala hali halisi. Yaani ninaelewa ya kwamba wana ngazi zilezile kama Tanzania ila tu jinsi ngazi hizo zinatekelezwa - ajabu (wilaya yenye kata moja ina maana gani??)

c) hapo najiuliza tutumie majina gani. Yaani kama tarafa ni hasa mji sijui kama inapendeza kuiweka chini ya "tarafa ya Marsabit" - itakuwa ni "Marsabit" pekee kwa mji (na mazingira) halafu "wilaya ya Marsabit". Limuru iwe "Limuru" au "Limuru (mji) badala ya "Limuru (tarafa)".

Sijui wenzangu wanaonaje lakini mimi naona hasa mji - je watu wanajisikia ni "tarafa/division" au ni mji - manisipaa n.k. ? Na tutumie jina gani? --Kipala (majadiliano) 23:18, 27 Machi 2009 (UTC)[jibu]

Binafsi sijaelewa kitu. Ingawa, nimeangalia kile chanzo cha faili, lakini bado nipo mtrgoni. Labda uanze halafu uonyeshe mfano kisha wengine tutafuata! Lakini orodha yao sio rahisi kama ile ya kwetu! Pole kwa kazi!--Mwanaharakati (Longa) 07:33, 28 Machi 2009 (UTC)[jibu]

Katiba mpya

[hariri chanzo]

Katika katiba mpya ya Kenya inasema kuwa mikoa ilibanduliwa na majimbo yakazinduliwa. Tafadhali rekebisha --Trunzep (majadiliano) 09:39, 4 Julai 2016 (UTC)[jibu]

Kubatilishwa kwa mfumu wa Mikoa

[hariri chanzo]

Baada ya uzinduzi wa katiba mpya ya 2010 ilioanza rasmi kuzingatiwa 2013 Kenya ilibandili mfumo wa Mikoa. Hivi sasa Kenya ina serikali ya Kitaifa na seriakli za kikaunti/kata. Hivi sasa Kenya ina ujumla wa kata 47. Hata hivyo mfumu wa majimbo amboa ulitumika hapo awali bado waendelea kutumika kuchagua wambunge wanaotunga sheria za nchi. Hivyo naonelea ni mwafaka kusahihisha nakala hii --Anjakretfep (majadiliano) 20:09, 10 Juni 2018 (UTC)[jibu]

{{bottomLinkPreText}} {{bottomLinkText}}
Majadiliano:Wilaya, tarafa na kata za Kenya
Listen to this article

This browser is not supported by Wikiwand :(
Wikiwand requires a browser with modern capabilities in order to provide you with the best reading experience.
Please download and use one of the following browsers:

This article was just edited, click to reload
This article has been deleted on Wikipedia (Why?)

Back to homepage

Please click Add in the dialog above
Please click Allow in the top-left corner,
then click Install Now in the dialog
Please click Open in the download dialog,
then click Install
Please click the "Downloads" icon in the Safari toolbar, open the first download in the list,
then click Install
{{::$root.activation.text}}

Install Wikiwand

Install on Chrome Install on Firefox
Don't forget to rate us

Tell your friends about Wikiwand!

Gmail Facebook Twitter Link

Enjoying Wikiwand?

Tell your friends and spread the love:
Share on Gmail Share on Facebook Share on Twitter Share on Buffer

Our magic isn't perfect

You can help our automatic cover photo selection by reporting an unsuitable photo.

This photo is visually disturbing This photo is not a good choice

Thank you for helping!


Your input will affect cover photo selection, along with input from other users.

X

Get ready for Wikiwand 2.0 ๐ŸŽ‰! the new version arrives on September 1st! Don't want to wait?