For faster navigation, this Iframe is preloading the Wikiwand page for Uhindu.

Uhindu

Alama ya Aum ni silabi takatifu katika Uhindu

Uhindu (kwa Kisanskrit: हिन्दू धर्म: Hindū Dharma; pia सनातन धर्म Sanātana Dharma) ni dini kubwa yenye asili katika Bara Hindi.

Ikiwa na wafuasi milioni 900 ni dini ya tatu baada ya Ukristo na Uislamu kwa wingi wa waumini.

Nchi zenye Wahindu

[hariri | hariri chanzo]

Katika nchi za India, Nepal na Morisi na kwenye kisiwa cha Bali (Indonesia) wakazi wengi hufuata aina mojawapo ya Uhindu.

Vikundi vikubwa viko pia:

Neno Hindu linatokana na lugha ya Kisanskrit ambapo Sindhu ni jina la kale la mto Indus uliopo kwenye sehemu ya magharibi kaskazini ya Bara Hindi. "Hindu" imepatikana mara ya kwanza wakati wa karne ya 6 KK katika andishi la mfalme Darius I kwa maana ya "watu wa ng'ambo ya mto Indus (Kisanskrit: Sindhu).[1] Hapa "Sindhu / Hindu" haina maana ya kidini bali ya kijiografia pekee.

Katika Kiajemi neno "Hindu" linamaanisha wakazi wa Uhindi pamoja na wafuasi wa dini kubwa ya nchi hiyo. Mnamo karne ya 11 milki iliundwa na Waajemi katika Bara Hindi iliyoitwa "Hindustan" na mji mkuu ulikuwa Lahore[2].

Baadaye Waingereza walipokea jina hilo kutoka Kiajemi, wakilitumia kwanza kwa nchi na baadaye hasa kwa wafuasi wa dini zisizo za Kiislamu, Kiyahudi wala Kikristo. Jina Hinduism (iliyoandikwa mwanzoni Hindooism) lilikuwa kawaida tangu karne ya 18 kwa kutaja falsafa na dini zenye asili ya India.[3]

  1. Flood, Gavin D. (1996), An Introduction to Hinduism, Cambridge University Press, uk. 6
  2. J. T. P. de Bruijn, makala HINDU kwa Encyclopædia Iranica Vol. XII, Fasc. 3, pp. 311-312, inapatikana online kwa http://www.iranicaonline.org/articles/hindu, ilitazamiwa 6-05-2016
  3. Will Sweetman (2003), Mapping Hinduism: 'Hinduism' and the Study of Indian Religions, 1600-1776, Otto Harrassowitz Verlag, ISBN 3-931479498, pages 163, 154-168

Viungo vya Nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya dini bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu mada hii kama historia yake au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
{{bottomLinkPreText}} {{bottomLinkText}}
Uhindu
Listen to this article

This browser is not supported by Wikiwand :(
Wikiwand requires a browser with modern capabilities in order to provide you with the best reading experience.
Please download and use one of the following browsers:

This article was just edited, click to reload
This article has been deleted on Wikipedia (Why?)

Back to homepage

Please click Add in the dialog above
Please click Allow in the top-left corner,
then click Install Now in the dialog
Please click Open in the download dialog,
then click Install
Please click the "Downloads" icon in the Safari toolbar, open the first download in the list,
then click Install
{{::$root.activation.text}}

Install Wikiwand

Install on Chrome Install on Firefox
Don't forget to rate us

Tell your friends about Wikiwand!

Gmail Facebook Twitter Link

Enjoying Wikiwand?

Tell your friends and spread the love:
Share on Gmail Share on Facebook Share on Twitter Share on Buffer

Our magic isn't perfect

You can help our automatic cover photo selection by reporting an unsuitable photo.

This photo is visually disturbing This photo is not a good choice

Thank you for helping!


Your input will affect cover photo selection, along with input from other users.

X

Get ready for Wikiwand 2.0 🎉! the new version arrives on September 1st! Don't want to wait?