For faster navigation, this Iframe is preloading the Wikiwand page for Iowa.

Iowa

Muhuri wa jimbo la Iowa

|jina_rasmi = Iowa |picha_ya_satelite = Map of USA highlighting Iowa.png |maelezo_ya_picha = Mahali pa Iowa katika Marekani |picha_ya_bendera = Flag of Iowa.svg |ukubwa_ya_bendera = 100px |picha_ya_nembo = Iowa-StateSeal.svg |ukubwa_ya_nembo = 80px |settlement_type = Jimbo |native_name = |nickname = |subdivision_type = Nchi |subdivision_name = Bendera ya Marekani Marekani |subdivision_type1 = |subdivision_name1 = |subdivision_type2 = Mji mkuu |subdivision_name2 = Des Moines |area_total_km2 = 145743 |area_land_km2 = 144701 |area_water_km2 = 1042 |idadi_ya_wakazi_kwa_mwaka_wa = |population_note = |wakazi_kwa_ujumla = |website = http://www.iowa.gov/ )) Iowa ni jimbo la kujitawala la Maungano ya Madola ya Amerika au Marekani. Iko katika magharibi ya kati ya Marekani bara. Imepakana na Minnesota, Nebraska, South Dakota, Missouri na Illinois. Mto Missisippi ni mpaka wake upande wa mashariki kutazama Wisconsin na Illinois; mto Missouri ni mpapa wake upande magharibi kutazama Nebraska. Imekuwa jimbo la Marekani tangu 1846.

Mji mkuu wa jimbo na pia mji mkubwa ni Des Moines. Idadi ya wakazi wa jimbo lote hufikia watu 2,926,324 wanaokalia eneo la 145,743 km² ambalo ni hasa tambarare lenye rutba.

Shamba la Iowa

Kilimo ni uti wa mgongo wa uchumi na kuna mashamba makubwa Iowa. Mahindi yanayolimwa hasa pamoja na soya yanalisha nguruwe na ng'ombe. Sehemu ya mazao hutumiwa kwa kutengeneza petroli ya ethanol.


Wikimedia Commons ina media kuhusu:


Majimbo ya Marekani

AlabamaAlaskaArizonaArkansasCaliforniaColoradoConnecticutDelawareFloridaGeorgiaHawaiiIdahoIllinoisIndianaIowaKansasKentuckyLouisianaMaineMarylandMassachusettsMichiganMinnesotaMississippiMissouriMontanaNebraskaNevadaNew HampshireNew JerseyNew MexicoNew YorkNorth CarolinaNorth DakotaOhioOklahomaOregonPennsylvaniaRhode IslandSouth CarolinaSouth DakotaTennesseeTexasUtahVermontVirginiaWashingtonWest VirginiaWisconsinWyoming

Makala hii kuhusu maeneo ya Marekani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Iowa kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
{{bottomLinkPreText}} {{bottomLinkText}}
Iowa
Listen to this article

This browser is not supported by Wikiwand :(
Wikiwand requires a browser with modern capabilities in order to provide you with the best reading experience.
Please download and use one of the following browsers:

This article was just edited, click to reload
This article has been deleted on Wikipedia (Why?)

Back to homepage

Please click Add in the dialog above
Please click Allow in the top-left corner,
then click Install Now in the dialog
Please click Open in the download dialog,
then click Install
Please click the "Downloads" icon in the Safari toolbar, open the first download in the list,
then click Install
{{::$root.activation.text}}

Install Wikiwand

Install on Chrome Install on Firefox
Don't forget to rate us

Tell your friends about Wikiwand!

Gmail Facebook Twitter Link

Enjoying Wikiwand?

Tell your friends and spread the love:
Share on Gmail Share on Facebook Share on Twitter Share on Buffer

Our magic isn't perfect

You can help our automatic cover photo selection by reporting an unsuitable photo.

This photo is visually disturbing This photo is not a good choice

Thank you for helping!


Your input will affect cover photo selection, along with input from other users.

X

Get ready for Wikiwand 2.0 🎉! the new version arrives on September 1st! Don't want to wait?