For faster navigation, this Iframe is preloading the Wikiwand page for Hifadhi ya kisiwa cha Rubondo.

Hifadhi ya kisiwa cha Rubondo

Hifadhi ya Rubondo
Chui wakiwa juu ya mti.

Hifadhi ya Rubondo inapatikana katika kisiwa kilichopo pembezoni mwa Ziwa Victoria, ambalo ni ziwa la pili kwa ukubwa duniani, likiwa linazungukwa na nchi tatu, Tanzania, Kenya na Uganda. Imeundwa na mkusanyiko wa visiwa tisa vidogovidogo.

Kisiwa cha Rubondo ni makazi na mazingira muafaka ya kuzaliana samaki wakiwemo sato na sangara. Sangara huweza kuwa na ukubwa wa hadi kilo 100.

Fukwe za kisiwa hiki ni miongoni mwa makazi ya pongo na nzohe. Aidha hifadhi hii ni maskani makuu ya ndege na samaki kama zumbuli, chechele na taisamaki.

Mbali na ndege hao kisiwa hiki ni makazi ya aina nyingine nyingi za ndege wa majini na mimea kadhaa ambayo hutoa harufu nzuri ya kuvutia.

Wanyama wakazi wa hifadhi hii ni kama viboko, pongo, nzohe, fisi maji, mamba na pimbi ambao wanashirikiana makazi na wanyama waliohamishiwa katika hifadhi hii kama sokwe, tembo, mbega weusi na weupe na twiga.

Namna ya kufika

[hariri | hariri chanzo]

Hifadhi hii ina ukubwa wa kilometa za mraba 457 na iko kaskazini magharibi mwa Tanzania, katika mkoa wa Geita. Pia hifadhi hii -Inafikika kwa ndege za kukodi kutoka Arusha, Ziwa Manyara, Serengeti na Mwanza. -Kwa njia ya barabara kutoka Mwanza-Sengerema-Geita-Nkome kisha kwa boti hadi hifadhini. -Kwa meli ndogo kutoka Muleba na Bukoba vilevile kwa njia ya barabara kutoka wilaya za Biharamulo na Muleba kupitia kijiji cha Mganza.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]

Majarida ya hifadhi za Taifa Tanzania

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Geita bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
{{bottomLinkPreText}} {{bottomLinkText}}
Hifadhi ya kisiwa cha Rubondo
Listen to this article

This browser is not supported by Wikiwand :(
Wikiwand requires a browser with modern capabilities in order to provide you with the best reading experience.
Please download and use one of the following browsers:

This article was just edited, click to reload
This article has been deleted on Wikipedia (Why?)

Back to homepage

Please click Add in the dialog above
Please click Allow in the top-left corner,
then click Install Now in the dialog
Please click Open in the download dialog,
then click Install
Please click the "Downloads" icon in the Safari toolbar, open the first download in the list,
then click Install
{{::$root.activation.text}}

Install Wikiwand

Install on Chrome Install on Firefox
Don't forget to rate us

Tell your friends about Wikiwand!

Gmail Facebook Twitter Link

Enjoying Wikiwand?

Tell your friends and spread the love:
Share on Gmail Share on Facebook Share on Twitter Share on Buffer

Our magic isn't perfect

You can help our automatic cover photo selection by reporting an unsuitable photo.

This photo is visually disturbing This photo is not a good choice

Thank you for helping!


Your input will affect cover photo selection, along with input from other users.

X

Get ready for Wikiwand 2.0 🎉! the new version arrives on September 1st! Don't want to wait?