For faster navigation, this Iframe is preloading the Wikiwand page for Bustani ya wanyama.

Bustani ya wanyama

Chui milia wa Siberia kwenye bustani ya wanyama huko Amersfoort.
Kitengo cha Panda kwenye bustani ya wanyama ya Chiang Mai (Uthai).
Wageni wanalisha na kushika panyabuku waliozoea binadamu kwenye bustani ya wanyama "Parc Animalier des Pyrenées", Ufaransa
Twiga kutoka Afrika huko Melbourne, Australia.
Mtoto akiwa katika bustani ya wanyama

Bustani ya wanyama ni mahali ambapo wanyama, hasa wanyamapori wa aina mbalimbali, wanatunzwa ili watu wapate kuwatazama. Siku hizi bustani Za wanyama zimekuwa pia mahali pa kutunza spishi au aina za wanyama walioko hatarini kutokomea. Vile vile bustani za wanyama zimewekwa kwa ajili ya maonyesho[1].

Miji mingi mikubwa duniani ina bustani za wanyama[2]. Katika baadhi ya bustani hizo watu hulipa kiingilio wakitaka kuingia. Hata hivyo bustani hizo hazipokei mapato ya kutosha, hivyo hazina budi kupokea pia misaada kutoka serikali.

Umuhimu wa bustani za wanyama ni katika

  • kuwapatia watu nafasi ya kuona kwa macho yao wanyama wa nchi zilizo mbali
  • kuwaelimisha watu juu ya wanyama wa dunia, pia kuhusu mazingira yao
  • kuwa kituo cha utafiti wa kisayansi kuhusu wanyama
  • kuhifadhi na kufuga aina za wanyama hatarini kutokomea, hasa wasio na mazingira asilia tena.

Marejeɒ

[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya Nje

[hariri | hariri chanzo]
WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mambo ya biolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Bustani ya wanyama kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
{{bottomLinkPreText}} {{bottomLinkText}}
Bustani ya wanyama
Listen to this article

This browser is not supported by Wikiwand :(
Wikiwand requires a browser with modern capabilities in order to provide you with the best reading experience.
Please download and use one of the following browsers:

This article was just edited, click to reload
This article has been deleted on Wikipedia (Why?)

Back to homepage

Please click Add in the dialog above
Please click Allow in the top-left corner,
then click Install Now in the dialog
Please click Open in the download dialog,
then click Install
Please click the "Downloads" icon in the Safari toolbar, open the first download in the list,
then click Install
{{::$root.activation.text}}

Install Wikiwand

Install on Chrome Install on Firefox
Don't forget to rate us

Tell your friends about Wikiwand!

Gmail Facebook Twitter Link

Enjoying Wikiwand?

Tell your friends and spread the love:
Share on Gmail Share on Facebook Share on Twitter Share on Buffer

Our magic isn't perfect

You can help our automatic cover photo selection by reporting an unsuitable photo.

This photo is visually disturbing This photo is not a good choice

Thank you for helping!


Your input will affect cover photo selection, along with input from other users.

X

Get ready for Wikiwand 2.0 🎉! the new version arrives on September 1st! Don't want to wait?