For faster navigation, this Iframe is preloading the Wikiwand page for Binyavanga Wainaina.

Binyavanga Wainaina

'

Binyavanga Wainaina
Binyavanga Wainaina
Amezaliwa18 Januari 1971
Amefariki21 Mei 2019
Kazi yakemwandishi kutoka nchini Kenya


Binyavanga Wainaina (18 Januari 1971 - 21 Mei 2019) alikuwa mwandishi kutoka nchini Kenya.

Alizaliwa Nakuru, nchini Kenya. Alihudhuria masomo ya msingi na sekondari nchini Kenya kabla ya kujiunga na Chuo Kikuu cha Transkei, Afrika Kusini.

Baada ya kumaliza masomo yake alihamia katika jiji la Cape Town ambapo alifanya kazi kama mwandishi wa kujitegemea wa masuala ya chakula na utalii.

Mwezi Julai 2002 Binyavanga alishinda Tuzo ya Caine kwa Uandishi wa Kiafrika. Yeye ndiye mwanzilishi wa jarida la fasihi la Kwani?, ambalo linachukuliwa kuwa ndio gazeti kuu la masuala ya fasihi toka Afrika Mashariki.

Aliaandika riwaya yake ya kwanza iitwayo The Fallen World of Appearances. Mwaka 2003 alipata tuzo toka Chama cha Wachapishaji wa Kenya (Kenya Publishers Association) kutokana na juhudi zake za kuendeleza fasihi ya Kenya.

Alisomea shahada ya pili ya Uandishi wa Ubunifu katika Chuo Kikuu cha East Anglia. Kazi zake zimetoka katika magazeti na majarida mbalimbali kama vile National Geographic, The East African, The Sunday Times (ya Afrika Kusini), The Guardian (ya Uingereza).

Baadhi ya kazi alizoandika ni:

  • Discovering Home (Hadithi fupi, G21Net, 2001)
  • An Affair to Dismember (Hadithi fupi)
  • Beyond the River Yei: Life in the Land Where Sleeping is a Disease (Riwaya ya picha pamoja na Steven Torfinn, Kwani Trust).

Kupata UKIMWI

[hariri | hariri chanzo]

Tarehe 1 Disemba 2016, katika siku ya UKIMWI Duniani, Wainaina alitangaza kupitia akaunti yake ya Twitter kwamba amethibitika kuwa na UKIMWI.[1]

Wainaina amefariki dunia baada ya kupata ugonjwa majira ya saa nne usiku ya tarehe 21 Mei, 2019, katika Hospitali ya Aga Khan jijini Nairobi, hiyo ni kwa mujibu wa taarifa kutoka kwa wanandugu.[2]

  1. Binyavanga Wainaina [@BinyavangaW] (1 Desemba 2016). "i am HiV Positive, and happy" (Tweet) – kutoka Twitter. ((cite web)): Cite has empty unknown parameter: |dead-url= (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Binyavanga Wainaina, 1971–2019, RIP" (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2019-05-22.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
{{bottomLinkPreText}} {{bottomLinkText}}
Binyavanga Wainaina
Listen to this article

This browser is not supported by Wikiwand :(
Wikiwand requires a browser with modern capabilities in order to provide you with the best reading experience.
Please download and use one of the following browsers:

This article was just edited, click to reload
This article has been deleted on Wikipedia (Why?)

Back to homepage

Please click Add in the dialog above
Please click Allow in the top-left corner,
then click Install Now in the dialog
Please click Open in the download dialog,
then click Install
Please click the "Downloads" icon in the Safari toolbar, open the first download in the list,
then click Install
{{::$root.activation.text}}

Install Wikiwand

Install on Chrome Install on Firefox
Don't forget to rate us

Tell your friends about Wikiwand!

Gmail Facebook Twitter Link

Enjoying Wikiwand?

Tell your friends and spread the love:
Share on Gmail Share on Facebook Share on Twitter Share on Buffer

Our magic isn't perfect

You can help our automatic cover photo selection by reporting an unsuitable photo.

This photo is visually disturbing This photo is not a good choice

Thank you for helping!


Your input will affect cover photo selection, along with input from other users.

X

Get ready for Wikiwand 2.0 🎉! the new version arrives on September 1st! Don't want to wait?