For faster navigation, this Iframe is preloading the Wikiwand page for Stibi.

Stibi


Stibi au Antimoni (stibium)
Alotropia ya kimetali ya stibi yenye rangi buluu-nyeupe
Alotropia ya kimetali ya stibi yenye rangi buluu-nyeupe
Jina la Elementi Stibi au Antimoni (stibium)
Alama Sb
Namba atomia 51
Mfululizo safu Simetali
Uzani atomia 121.760
Valensi 2, 8, 18, 18, 5
Densiti 6,697 g/cm³ kufuatana na alotropia zake
Ugumu (Mohs) (({ugumu))}
Kiwango cha kuyeyuka 903.78 K (630.63 °C)
Kiwango cha kuchemka 1860 K (1587 °C)
Asilimia za ganda la dunia 7 · 10-5 %
Hali maada mango
Mengineyo Stibi ni chaguo la jedwali ya elementi ya KAST, "wanja wa manga" hutajwa katika M-J SSE); lugha nyingi duniani hutumia neno antimon.

Kuna alotropia nne


Antimoni au Stibi (kutoka kigiriki stimmi/stibi na Kilatini stibium iliyotaja kampaundi ya elementi) ni nusumetali au metaloidi yenye namba atomia 51 katika mfumo radidia. Uzani atomia ni 121.760.

Elementi hutokea kwa alotropia nne na ile ya kawaida ni ya metaloidi yenye rangi buluu-nyeupe. Alotropia za rangi njano na nyeusi ni simetali tena si thabiti.

Matumizi

[hariri | hariri chanzo]

Matumizi yake ni katika rangi, madawa ya kuzuia moto, aloi nyingi na kutengeneza kompyuta.

Kihistoria kampaundi ya stibi (antimon) ilitumiwa kama wanja (kohl) yaani rangi ya upara.

Makala hii kuhusu mambo ya kemia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Stibi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
{{bottomLinkPreText}} {{bottomLinkText}}
Stibi
Listen to this article

This browser is not supported by Wikiwand :(
Wikiwand requires a browser with modern capabilities in order to provide you with the best reading experience.
Please download and use one of the following browsers:

This article was just edited, click to reload
This article has been deleted on Wikipedia (Why?)

Back to homepage

Please click Add in the dialog above
Please click Allow in the top-left corner,
then click Install Now in the dialog
Please click Open in the download dialog,
then click Install
Please click the "Downloads" icon in the Safari toolbar, open the first download in the list,
then click Install
{{::$root.activation.text}}

Install Wikiwand

Install on Chrome Install on Firefox
Don't forget to rate us

Tell your friends about Wikiwand!

Gmail Facebook Twitter Link

Enjoying Wikiwand?

Tell your friends and spread the love:
Share on Gmail Share on Facebook Share on Twitter Share on Buffer

Our magic isn't perfect

You can help our automatic cover photo selection by reporting an unsuitable photo.

This photo is visually disturbing This photo is not a good choice

Thank you for helping!


Your input will affect cover photo selection, along with input from other users.

X

Get ready for Wikiwand 2.0 🎉! the new version arrives on September 1st! Don't want to wait?