For faster navigation, this Iframe is preloading the Wikiwand page for Angellah Kairuki.

Angellah Kairuki

Angellah Jasmine Mbelwa Kairuki (alizaliwa 10 Septemba 1976) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama tawala Chama Cha Mapinduzi (CCM). Amechaguliwa kuwa mbunge wa Viti maalum vya wanawake manamo miaka ya 20102015, 2015 - 2020 [1].

Mwaka 2015 alipata kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Raisi, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora. Kabla ya hapo, alikuwa Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi pamoja na Katiba na Sheria. Kabla ya kujiunga na siasa, alifanya kazi kama mwanasheria katika sekta ya umma na binafsi.

Kapata elimu yake ya upili katika shule ya upili ya Kilakala 1991 – 1994, elimu ya juu ya upili katika Shule ya upili ya wasichana Zanaki 19951997. Alipata shahada yake ya sheria kutoka chuo kikuu cha Hill nchini Uingereza mwaka 1998 - 2001. Alipata Stashahada ya uzamili katika sheria Chuo Kikuu Cha Staffordshire kwa kushirikiana na mafunzo ya kati ya sheria 2001 – 2002. Alifanyakazi katika Ofisi ya Mwanasheria Mkuu kama atibu wa sheria na wakili kati ya mwaka 2004 na 2008. Kairuki alihamia sekta binafsi kama mkuu wa idara ya maadili, mwafaka na Utawala katika VODACOM Group PTY.

  1. Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Mei 2017

1. "Profile: Hon. Angellah Jasmine Mbelwa Kairuki". Parliament of Tanzania. Retrieved October 25, 2016.

2. Rose Athumani (December 11, 2015). "New lean Union cabinet unveiled". Daily News. Retrieved October 25, 2016.

3. "Case Studies: Angellah Kairuki". African Leadership Institute. Retrieved October 25, 2016.

{{bottomLinkPreText}} {{bottomLinkText}}
Angellah Kairuki
Listen to this article

This browser is not supported by Wikiwand :(
Wikiwand requires a browser with modern capabilities in order to provide you with the best reading experience.
Please download and use one of the following browsers:

This article was just edited, click to reload
This article has been deleted on Wikipedia (Why?)

Back to homepage

Please click Add in the dialog above
Please click Allow in the top-left corner,
then click Install Now in the dialog
Please click Open in the download dialog,
then click Install
Please click the "Downloads" icon in the Safari toolbar, open the first download in the list,
then click Install
{{::$root.activation.text}}

Install Wikiwand

Install on Chrome Install on Firefox
Don't forget to rate us

Tell your friends about Wikiwand!

Gmail Facebook Twitter Link

Enjoying Wikiwand?

Tell your friends and spread the love:
Share on Gmail Share on Facebook Share on Twitter Share on Buffer

Our magic isn't perfect

You can help our automatic cover photo selection by reporting an unsuitable photo.

This photo is visually disturbing This photo is not a good choice

Thank you for helping!


Your input will affect cover photo selection, along with input from other users.

X

Get ready for Wikiwand 2.0 🎉! the new version arrives on September 1st! Don't want to wait?